Atarudi Lyrics by Harmonize

Atarudi lyrics by Harmonize songs cover
SwahiliAtarudiHarmonize
126 views

Atarudi Lyrics

[Verse 1: Harmonize]
Na ye ni mwanadamu, Na dunia tunapita
Kama kupata kwa zamu, Oooh Zamu, Yangu itafikaa
Siwezi kana damu, Kesho wataja nizika
Ila ningependa afahamu, Haya mateso aloniipa

[Bridge: Harmonize]
Mmmh.! Tena mwambieni aloninyima mimi
Ndio kampa yeyee eeeh
Kupata foleni, Nasubiri yangu mimi
Hata icheleweeeeh

[Pre-Chorus: Harmonize]
Oooh Oooh Ooooh
Sina furaha naigiza ilimradii
Watoto wasijihisi vibaya
Huyu mdogo anauliza Eti Daddy
Mama ameihama kaya
Cha kujibu sina nabaki tu kusemaaaaa

[Chorus: Harmonize]
Atarudii, Atarudi mama
Atarudi, Anawapenda sana
Atarudi, Atawaletea zawadi
Atarudi, Eeeeh Atarudi mama
Atarudi, Atarudi mama
Atarudi, Anawapenda sana
Atarudi, Atawaletea Zawadi
Atarudiiiiih

[Verse 2: Harmonize]
Siwezi sema sijui tatizo
Hali yangu duni imefanya ukanikimbia
Ni vyema ungefanya maigizo
Mara kumi usingenizalia
Mmmh, Ingali Mapenzi pekee
Ningesema ni changamoto nijifunzee
Ameniacha mpwekeee, Na watoto niwatunze
Eeeh, Ila siwezi laumu
Aaaaaaah, Wenda yupo sawa, Aaaah
Kipato changu kigumu, Aaaaah
Kutwa Bumunda na Kahawa, Aaaah

[Bridge: Harmonize]
Eeeh.! Ila mwambieni aloninyima mimi
Ndio kampa yeyee eeh
Kupata Foleni, Nasubiri yangu mimi
Hata icheleweeeeh

[Pre-Chorus: Harmonize]
Oooh Oooh Ooooh
Sina furaha naigiza ilimradii
Watoto wasijihisi vibaya
Huyu mdogo anauliza Eti Daddy
Mama ameiaga kaya
Cha kujibu sina nabaki tu kusemaaaaa

[Chorus: Harmonize]
Atarudii, Atarudi mama
Atarudi, Anawapenda sana
Atarudi, Atawaletea zawadi
Atarudi, Eeeeh Atarudi mama
Atarudi, Atarudi mama
Atarudi, Anawapenda sana
Atarudi, Atawaletea Zawadi
Atarudiiiiih

[Outro: Harmonize]
Ohh My God It's Beta Sound

Disclaimer:-
All lyrics are © the original artist. This content is shared for educational, informational, and non-commercial purposes under fair use. We aim for accuracy, but some errors may occur. Support the artist by buying official music.

Atarudi Song FAQs

Who produced 'Atarudi' by Harmonize?

+

It was produced by Bonga | Beta Sound.

Who wrote 'Atarudi' by Harmonize?

+

It was written by Harmonize.

When did Harmonize release 'Atarudi'?

+

It was released on August 17, 2018.

Harmonize's Singles thumbnail

Harmonize's Singles

Song Credits

Official Music Video