Mdomo Lyrics by Harmonize ft. Ibraah

Mdomo lyrics by Harmonize songs cover
EnglishMdomoHarmonize
Featuring
Ibraah
1K views

Mdomo Lyrics

[Intro: Harmonize & Ibraah]
Hahaha, Jeshi
I really sound crazy
Songs by Abbah!
Chinga
I wanna sing for my lady oh
Sexy lady mmmh

[Verse 1: Harmonize]
Wanaokesha wakiomba tuachane
Wanaupaka rangi upepo
Ufe nikuzike tuzikane
Kesho tukakutane kwa pepo
Hasi na chanya tugandane
Kisha tuzidishe tempo
Bila sita saba na nane
Hata kumi isingekuwepo
Tena unavyojisuuza hujikwezi
Sio wa kulala Buza ushinde Mbezi
Yani unawaburuza hawakuwezi
Umeniteka mama

[Pre-Chorus: Harmonize & Ibraah]
Watoto wa Mombasa huko Kenya
Wanaitamani ndizi ya kumenya
Wanajiuliza vipi umepenya
Mpaka tembo hapindui
Akina Carry mastory wanakusengenya
Na vile huwajibu wanajitekenya
Na ulivyo na sifa unanipa tena
Yani mpaka asubuhi

[Hook: Ibraah]
Kifupi umeniziba mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo
Mdo
Yani baby umeniziba mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo
Mdo

[Verse 2: Ibraah]
Mmm Yeah
Oh baby I don't evеn understand
Nahisi kama umenifanyia limbwata
Ila ndo mapenzi sishangai
Yеah
My baby, I don't want a one night stand
Mi kwako chizi nishadata
Nitakupenda till I die
Maana unanipa mawenge (ngengenge)
Mara vichwa mara mwenge (ngengenge)
Kaja gym na kite (tengenge)
Ilimradi uchokozi
Aah onananana
Macho yanatazama mbingu
Na mikono ushafunga na pingu
Kibaridi huko nje kuna wingu
Mi namwa mwagaga machozi

[Pre-Chorus: Harmonize]
Watoto wa Mombasa huko Kenya
Wanaitamani ndizi ya kumenya
Wanajiuliza vipi umepenya
Mpaka tembo hapindui
Akina Carry mastory wanakusengenya
Na vile huwajibu wanajitekenya
Na ulivyo na sifa unanipa tena
Yani mpaka asubuhi

[Hook: Ibraah]
Kifupi umeniziba mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo
Mdo
Yani baby umeniziba mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo
Mdo

[Outro: Ibraah]
Anataka niteleze kwa ute (Hana ubaya)
Nikitapika nisifute (Hana ubaya)
Ananifanya nisijute (Hana ubaya)
Hana
Harmonize! Say
Chumbani nikukute (Hana ubaya)
Na ganja mbili tuvute (Hana ubaya)
Na vumbi la Congo ulifute (Hana ubaya)
Hana
The mix killer!
Kondeboy call me number one
Chinga yes number one
Number one
Hehe

Disclaimer:-
All lyrics are © the original artist. This content is shared for educational, informational, and non-commercial purposes under fair use. We aim for accuracy, but some errors may occur. Support the artist by buying official music.

Mdomo Song FAQs

Who is featured on 'Mdomo' with Harmonize?

+

Ibraah is the featured artist on 'Mdomo' with Harmonize.

Who produced 'Mdomo' by Harmonize?

+

It was produced by Abbah.

Who wrote 'Mdomo' by Harmonize?

+

It was written by Harmonize.

When did Harmonize release 'Mdomo'?

+

It was released on November 5, 2021.

Harmonize's Singles thumbnail

Harmonize's Singles

Song Credits

  • Writer

  • Producer

    Abbah
  • Artist

  • Featured Artist

    Ibraah
  • Released on

    November 5, 2021

Official Music Video