Ujana Lyrics by Harmonize

Ujana lyrics by Harmonize songs cover
SwahiliUjanaHarmonize
53 views

Ujana Lyrics

[Intro]
Bomboclaaa-
(Kimambo)
Yow, yow

[Chorus: Harmonize]
Hivi ujana upoje (Ujana upoje)
Ujana upoje (Ujana upoje)
Hivi ujana upoje, Eeh (Ujana upoje)
Ah, ujana upoje (Ujana upoje)

[Verse 1: Harmonize]
Kuna muda naweka malengo
Nikizipata nimiliki mjengo
Niwekeze, niwe na kitengo
Bosi, nikifa' niache pengo

[Pre-Chorus: Harmonize]
Ila pisi hizo, pisi hizo, Nikiziona moyo unadunda tena
(Pisi hizo,  pisi hizo, nikiziona moyo unadunda tena)
Pombe hizo,  pombe hizo, Nikiziona moyo unadunda tena
(Pombe hizo, pombe hizo, nikiziona moyo unadunda tena
Jamani moshi huo, moshi huo, Nikiuona moyo unadunda tena
(Moshi huo, moshi huo, nikiuona moyo unadunda tena
Weh, mikeka hiyo, mikeka hiyo, Nikiiwaza moyo unadunda tena
(Mikeka hiyo, mikeka hiyo, nikiiwaza moyo unadunda tena

[Chorus: Harmonize]
Hivi ujana upoje (Ujana upoje)
Ujana upoje (Ujana upoje)
Hivi ujana upoje, Eeh (Ujana upoje)
Ah, ujana upoje (Ujana upoje)

[Verse 2: Harmonize]
Kitoto cha 2000
Huko nyuma kilivyo nawiri
We huogopi?
Huogopi?
Anataka twende mara mbili
Pekupeku bila kandambili
We huogopi?
Huogopi?

[Verse 3: Harmonize]
How can I keep my money?
Wenzangu wapo batani
Ujana kitu gani?
Mbona kila kitu natamani?

[Pre-Chorus: Harmonize]
Pisi hizo, pisi hizo, Nikiziona moyo unadunda tena
(Pisi hizo, pisi hizo, nikiziona moyo unadunda tena)
Pombe hizo, pombe hizo, Nikiziona moyo unadunda tena
(Pombe hizo, pombe hizo, nikiziona moyo unadunda tena
Jamani moshi huo, moshi huo, Nikiuona moyo unadunda tena
(Moshi huo, moshi huo, nikiuona moyo unadunda tena)
Weh, mikeka hiyo, mikeka hiyo, Nikiiwaza moyo unadunda tena
(Mikeka hiyo, mikeka hiyo, nikiiwaza moyo unadunda tena

[Chorus: Harmonize]
Hivi ujana upoje (Ujana upoje)
Ujana upoje (Ujana upoje)
Hivi ujana upoje, Eeh (Ujana upoje)
Ah, ujana upoje (Ujana upoje)

[Verse 4: Harmonize]
Vijana kuvawa nowe waiyo (Waiyo!), Eh (Dobi, dobi)
Vijana kuvawa nowe waiyo (Waiyo, dobi, dobi)
Ayo no mwana kuwanowewaiyo (Waiyo, dobi, dobi)
Ayo no mwana kuwanowewaiyo (Waiyo, dobi, dobi)

[Outro: Harmonize]
Jamani moshi huo, moshi huo, Nikiuona moyo unadunda tena
(Moshi huo, moshi huo, nikiuona moyo unadunda tena
Bomboclaaa- (Kimambo)
The Mix Killer

Disclaimer:-
All lyrics are © the original artist. This content is shared for educational, informational, and non-commercial purposes under fair use. We aim for accuracy, but some errors may occur. Support the artist by buying official music.

Ujana Song FAQs

Who produced 'Ujana' by Harmonize?

+

It was produced by Kimambo Beats.

Who wrote 'Ujana' by Harmonize?

+

It was written by Harmonize.

When did Harmonize release 'Ujana'?

+

It was released on August 28, 2024.

Harmonize's Singles thumbnail

Harmonize's Singles

Song Credits

Official Music Video